Teknolojia inayokuwezesha kutumia computer yako ikiwa haina hardisk,kwa kutumia flash disk ambayo inakua na programs zinzzokuwezesha kufanya kazi mbalimbali zikiwemo,kutuma email,kuandika barua,kuchora na matumizi mengine ya computer.